Mwananchi Mzalendo's Photos - Kaa chonjo
Unapoona Mtu unayemshuku kama mhaifu au Kitu unashuku kinaweza kuleta maafa piga 999
1. Eleza uko wapi.
2. Ni mtu wa aina gani, anavalia nini na unamshuku kwanini.
3. Eleza kitu unachoshuku ni nini na usikiondoe kilipo.
4.Usihatarishe maisha yako.

  • 29
In this photo: